The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitaki [emoji41]
#Malipohapahapalikes
😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#UchoyoTu
Wacha walioweka picha wasifiwe.Mi sipendagi sifa za kijinga
Hakuna Nia ovu yoyote.Unasifiwa eti mzuri wa sura,
Sisi watu wa Pwani ukiona mtu anakusifia hivyo unapatwa na shaka, huenda ana nia ovu dhidi yako.
Na kama huyo anayekusifia aliwahi kuishi Mombasa na urafiki unaisha[emoji23][emoji23]
Hakuna Nia ovu yoyote.
Usiumie sana Mimi kuwasifia.
.Mombasa mbali..Arusha kwenyewe nakusikia redioni tu mtu wa mwakaleli mimi