Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni vigumu kumkamata sungura kwa kumnyatia kwa sababu anaona karibia kila upande. Macho ya sungura yanaona karibia nyuzi 360 (ya binadamu yanaona 135Β° tu). Sungura anaona mbele, nyuma kushoto na kulia pasipo kugeuka. Haoni kisehemu kidogo tu ambacho kipo mbele ya pua yake kwa umbali wa kama futi 1. (Animal Net)
 
Huu ni ugonjwa wa akili sasa.
Yaani mimi carba nianze kujihisi ni ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama yake na Kambarage alikuwa mke wa 5 wa mzee Nyerere Burito. Baba yake na mwalimu Nyerere alikuwa ameoa wake 22. Wakati wazazi wake wanaoana, baba yake (Nyerere Burito) alikuwa na miaka 47 na mama yake (Christina Mugaya) alikuwa na miaka 15. (Mwananchi)
 
Baba yake hakutaka asome. Akiwa na miaka 11 alimfunga kwenye mchezo wa bao mzee ambaye alikuwa rafiki wa baba yake. Mzee huyo akamshauri baba yake ampeleke shule kwa sababu ana uwezo mkubwa kiakili. Ndipo akaanza shule akiwa na miaka 12, 1934.
 
Mama yake na Kambarage alikuwa mke wa 5 wa mzee Nyerere Burito. Baba yake na mwalimu Nyerere alikuwa ameoa wake 22. Wakati wazazi wake wanaoana, baba yake (Nyerere Burito) alikuwa na miaka 47 na mama yake (Christina Mugaya) alikuwa na miaka 15. (Mwananchi)
 
Polisi wilayani Iganga, Uganda wanamshikilia kijana (22) kwa tuhuma ya kuiba simu ya askari wa zamu wa kituo cha polisi. Alifika akijidai kutoa taarifa ya wizi, badala yake akaiba simu iliyokuwa kaunta. Polisi walipekua makazi yake na kukuta vitu vingine vinavyodhaniwa vimeibwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…