Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unakumbuka Kanye West alipanda jukwaani na kumnyang'anya kipaza sauti Taylor Swift baada ya kushinda tuzo kwenye tuzo za MTV mwaka 2009? Basi Taylor Swift kaweka ukutani picha ya tukio hilo na kaandika maneno "Maisha yamejaa vikwazo vidogovidogo" (Buzzfeed)
 
Mbuzi William Windsor alikuwa koplo kwenye jeshi la malkia wa Uingereza. Alishushwa cheo mwaka 2006 baada ya kuonesha tabia isiyo ya kistaarabu wakati wa sherehe za kuzaliwa kwa malkia. Alipandishwa tena cheo miezi mitatu baadae. Alistaafu mwaka 2009 na sasa anaishi kwa pensheni yake kwenye zoo ya Whipsnade. (National Army Museum)
 
Mtandao wa ngono PornHub' wana kitengo maalum kwaajili ya masuala ya kijamii ambapo hufanya tafiti na kusaidia watu wenye matatizo ya saratani ya matiti na uzazi. Pia huendesha kampeni kadhaa kupinga unyanyasaji majumbani.
 
Poleni sana
Atleast huko mnachukulia hatua stahiki hii ishu

Wenzenu huku tandale tunaendelea kuhamasishana tusibusiane(no kissing) na tunawe kwa senitizers[emoji23][emoji23]
carb, maabukizi ya hii kitu bana, aah. Unaweza ukawa unanawa mikono kwa majivu na bado ukapata aisee; sijui tutaishia wapi. πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…