Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Al-Shabaab huwa wamepiga marufuku sambusa kwenye maeneo wanayotawala. Al-Shabaab wanadai kuwa sambusa zina pembe 3 inayoonesha utatu mtakatifu wa kikristo.Al-Shabaab pia wamepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa sababu inaharibu mazingira. (Huffpost, Independent)
 
Kampuni ya utafiti ya Hopper imeeleza kuwa nyota wa Juventus Cristiano Ronaldo huingiza pesa nyingi kwa mwaka (TZS 110B) kupitia akaunti yake ya Instagram kuliko mshahara wake Juventus (TZS 78B). Nyota huyo mwenye wafuasi zaidi ya 186M hulipwa mpaka TZS Bilioni 2.3 kwa post 1.
 
Nchini Ufilipino kuna kisiwa ambacho kina ziwa ndani yake, hilo ziwa lina kisiwa ndani yake pia, nacho hicho kisiwa kina ziwa ndani yake ambalo hilo ziwa lina kisiwa pia ndani yake. Linaitwa Taal Lake!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aaah! Tafadhali naomba kushushwa aisee nimechoka kupigwa kamba. Duuh!
 
Katika kijiji cha Mehinaku nchini Brazil, Wanaume hutongoza kwa samaki? Wanawake huwa na njia rahisi ya kuchagua nani wa kumkubali kati ya wanaofika kuwatongoza kwa kuchagua mwanaume mwenye samaki mkubwa zaid
Hiki Kijiji kinanifaa sana mimi mvuvi. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…