Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ikiwa watu wangu,Walioitwa kwa Jina langu ,wakijinyenyekeza na kuomba na kuutafuta uso wangu; na kuacha njia zao mbaya ;nami nitasikia kutoka mbinguni na kuiponya nchi Yao.

Mambo ya nyakati wa pili
Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Mwenge mwaka huu hautowashwa na hautokimbizwa,ili kuepusha mikusanyiko katika kipindi hiki cha tahadhari ya corona, fedha zilizopangwa kutumika katika kukimbiza Mwenge nimeagiza zipelekwe Wizara ya Afya zikafanye maandalizi ili hata akipatikana mgonjwa wa corona asaidiwe”-JPM
•

“Watanzania tuchukue tahadhari corona inaua,nasisitiza Mwenge hautokimbizwa mwaka huu mpaka corona iishe, na kama itaisha tutafikiria kama ni kukimbiza siku tatu lakini kwa sasa roho za Watu wetu ni bora zaidi hatupaswi kuzihatarisha, fedha za Mwenge zipelekwe Wizara ya Afya”-JPM
#MillardAyoUPDATES
 
Wanafunzi wanatamani shule zifungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…