Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti: Matumizi ya WIFI, Simu za mkononi huongeza hatari ya kuharibika ujauzito, sababu inatajwa ni kutokana na miale ambayo inatolewa pale unapotumia kila mara.
Tafiti pia zimeanza kuonyesha uhusiano wa simu hizi na ongezeko la kansa za ubongo...na ni mtuhumiwa nambari wani wa kuongezeka kwa insomnia na kudhoofika kwa mbegu za wanaume
 
Akaunti zenye Likes' nyingi zaidi Facebook (tarehe 30 Januari, 2020).

1. Facebook- 214M

2. Samsung- 159M

3. C. Ronaldo- 122M

4. Mark Zuckerberg- 116M

5. Real Madrid- 110M

6. Coca-Cola- 107M

7. FC Barcelona- 103M

8. Shakira- 100M

9. Vin Diesel- 96M

10. Tasty- 97M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…