Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akaunti zenye wafuasi wengi zaidi Twitter (tarehe 30 Januari, 2020).

1. Barack Obama- 112M

2. Justin Bieber- 108M

3. Katy Perry- 108M

4. Rihanna- 96M

5. Taylor Swift- 86M

6. C. Ronaldo- 82M

7. Lady Gaga- 81M

8. The Ellen Show- 79M

9. YouTube- 72M

10. Donald Trump- 72M
 

Nguvu yao kubwa sana huko, maelezo utayatolea behind bars huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akaunti zenye wafuasi wengi zaidi Instagram (tarehe 30 Januari, 2020).

1. Instagram- 330M

2. C. Ronaldo- 200M

3. Ariana Grande- 173M

4. The Rock- 170M

5. Selena Gomez- 167M

6. Kylie Jener- 160M

7. Kim Kardashian- 158M

8. Lionel Messi- 141M

9. Beyonce- 139M

10. Neymar Jr- 132M
 
Kitabu cha rekodi za dunia, Guinness World Record kilianzishwa kwa sababu mkurugenzi wa kampuni ya bia ya Guinness wakati huo, 1951, Sir Hugh Beaver, alibishana na wenzake wakati wanawinda kuwa ni ndege gani ana kasi zaidi angani. Walipokosa jibu Beaver alijiuliza sana kuwa ni vitu vingapi watu wanabishana bila majibu. Ndipo akaona atengeneze kitabu cha kumbukumbu za rekodi. (Wikipedia)
 
#prayforitaly
Kabinti kangu ilikuwa kaende Italy jana na wenzake 12 katika mashindano ya sayansi. Of course safari ilishafutwa na waandaaji wa safari hii wamegoma kuturudishia pesa zetu wakidai kuwa wao hawajasababisha Corona na hivyo hawako liable. Tumepigwa kirahisiiii. [emoji36][emoji36][emoji36]
 
naamini enzi zako ungeliomba japo namba za simu (ndio maana nikasema umeshazeeka)
 
Duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…