Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huwa unaucharaza sana Moana?[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee masikini mimi
Labda Wahindu wako sahihi na incarnation yao [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂😂😂😂 jamani....Kuna kipindi walisema eti wanasayansi wanafanya kulisukumia liangukie Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa sijui kweli
Yaani demu akitaka kukuharibia maisha ni kukusingizia tu kuwa ulimdhalilisha kingono. Hata kama ni kwa maneno tu mtu ushafutwa kazi mara moja. Makampuni yanaogopa balaa kuja kupigwa hela ndefu wakipelekwa mahakamani...Scary....Nguvu yao kubwa sana huko, maelezo utayatolea behind bars huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DohTafiti: Kuwa na matiti makubwa kwa mwanamke hupunguza miaka 5 wastani wa maisha yako kuishi.
[emoji120][emoji120]Mimi pia niko vyema, khantwe
Mungu ni mwema kabisa
Uliza hili swali kwenye intavyuu halafu kaa sasa usikilize jibu utakalopata. Baada ya jibu la swali hili waajiri wengi huwa wameshajua kama wanayemsaili anafaa au hafai. Ni swali la muhimu sana hili....mojawapo ya swali gumu "jieleze wewe ni nani"