Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kuna uhusiano gani wa kuwa shoga (gay) na kubadilika kwa sauti?
huyu bwege ni shoga (nimefahamu muda huu) lakini navutiwa sana na maisha yake, amejawa na utu, upendo na huruma kwa tabaka la chini.

nimeshamuona mara nyingi sana kwenye drama za wakorea, nilikuwa nashangazwa sana na style yake ya kuzungumza (kumbe ni baradhuli kweli)

nauliza tena kuna uhusiano gani wa kuwa shoga (gay) na kubadilika kwa sauti?

  1. omary kopa
  2. sabri bachani
  3. mau zinde
kuna shoga mmoja tu ambaye hajabadilika sauti (simtaji kwa kuhofia ...............)
hamuwezi kuamini huyo mtu kama ni shoga
ni maarufu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Watu humiminika Thailand kwenda kusasambua majike dume and unfortunately underage girls na hata watoto wadogo wenye miaka mpaka mitano. INTERPOL kila mwaka hukamata wanaume maelfu wanaokwenda huko kwa sababu hii ya kuharibu watoto....

Dunia...
 

Ndiyo shida ya majanga bro, yanaleta taharuki sana pole pia kwa hilo, nimefurahi fahamu binti ni mpenda science [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545] bora uzima mashindano yatasubiri
 
Tutajie Herufi moja tu tupate ubuyu
 
Drama gani yupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weeeeeeh, mbona unanifanya nisipate usingizi jamani? Hebu mtaje mwaya ili nilale mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…