Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mnyakyusa kajiandaa na Corona sawa sawa....
View attachment 1390928
Nimekupata vyema MoanaHapo sasa najua atakuwa anatafuta majibu mabaya, maana mwanzo huwa tunakuwa wastaarabu tu ila wanavyoendelea wanatusababisha tujibu vibaya, halafu waje kulalamika kuwa wanawake wa siku hizi tuna majibu mabaya ndiyo maana eti tunachelewa kuolewa, wanaume wa bongo bhana.
Hakuna mwanaume aliye tayari kushare, hivyo mwanaume akinijibu hivyo nami namchukulia kuwa hayuko serious na mimi.
Hizo trophy 80 umeiba wapi?
Hahah! Sijui ilikuaje tu hiyo 1 ata sijawahi kuona, hao wachezaji siwalikua kama sizimizi sasa?Mimi nimeanzia 1
Kwa sababu unakua umezoeleka kwa hio ID mfano leo nibadili niite Jennis. Hata mie ntajishtukia na kujiona mgeni,walionizoea wote watapata tabu kuzoea ID mpya.[emoji1787][emoji1787] ila mie sielewagi kwanini kubadili id inaonekana ni kitu cha ajabu eti
Hahah! Sijui ilikuaje tu hiyo 1 ata sijawahi kuona, hao wachezaji siwalikua kama sizimizi sasa?
Kumbe Karma ndiyo kawa Moana?Kwa sababu unakua umezoeleka kwa hio ID mfano leo nibadili niite Jennis. Hata mie ntajishtukia na kujiona mgeni,walionizoea wote watapata tabu kuzoea ID mpya.
Nilianza kuizoea ya karma ujue,hasa kwa zile selfie matata uzi wa sangoma
#BringOurKarmaBack...[emoji1787][emoji1787] ila mie sielewagi kwanini kubadili id inaonekana ni kitu cha ajabu eti
Kumbe tayari alisha jiselfisha kule?Kwa sababu unakua umezoeleka kwa hio ID mfano leo nibadili niite Jennis. Hata mie ntajishtukia na kujiona mgeni,walionizoea wote watapata tabu kuzoea ID mpya.
Nilianza kuizoea ya karma ujue,hasa kwa zile selfie matata uzi wa sangoma
Is being short a toxic trait? Basi mimi toxic huwa naielewa tofautiGirls naturally don't see toxic traits in rich people. They be like 'he's short and bald but that's what makes him cute [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app