Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tanzania. Naona mnataka kumtafuta vya rohoni mama Ndalichako
SauwaUsijilinganishe na Anne pulizi. Nakuomba sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tulia huko gorofani[emoji23][emoji23]Ngoja tu nikazie...huu uzi una watoto wa kishua sie maisha magumu ngoja tukae nyuma ππ Saint Anne au sio dogo
Eti MD, MD my foot?!! MD gani akili fupi anatupostia mask za mia 3 pharmacy?!! Kabisa eti limeandika tuchukue tahadhari. Maajabu haya.Kigwa boi apitwe?
Ila ni MD msikilizeni [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee! Moana upandishe mashetani yako basi utubariki na sisi hapa kaself matata laa sivyo tutakosa usingizi kama wewe jana ulivyoteswa na MkoreaMara nyingi aiseee kamdada ka kishua,ofisi safiii,chai ya maziwa na vitafunio matata,juisi bab kubwa, keupee,nywele kabana very beautiful cheiiii nimeiga tabia ya anne kusifia mpaka kupitiliza 55555555
ππWewe tulia huko gorofani[emoji23][emoji23]
πππ umeanza?!Wewe tulia huko gorofani[emoji23][emoji23]
ππππ aya basi yaisheHio ni enzi zileeeeeee kabla hujazinduliwa ujue
Nna rafiki angu ni Daktari maajabu na yeye ananiuliza kama nimevaa mask!!Hapana
Alafu muache kuvaa mask mnatutisha wengine
πππwewe wa kishua na kilombero wapi na wapiNna rafiki angu ni Daktari maajabu na yeye ananiuliza kama nimevaa mask!!
WaTz sisi bana, me sivai labda siku nikienda Kilombero kununua nyanya
[emoji23][emoji23][emoji23] na ile laptop yako matawiπππ umeanza?!
Kilombero tu? Mpaka Tengeru nafika πππππwewe wa kishua na kilombero wapi na wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ππππ aya basi yaishe