Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bilionea maarufu wa kichina Jack Ma ametoa msaada wa mamilioni ya dola kwa nchi 54 za Afrika kukabiliana na janga la Corona.
Jack Ma, kupitia Alibaba Foundation na Jack Ma Foundation atatoa vifaa alfu 20 vya kimaabala, kwa ajili ya kupima corona, mask 100,000, mavazi ya matabibu 1000 na pia atagharamia mafunzo kwa watoa huduma.
Misaada hiyo yote itafikia nchini Ethiopia na kusambazwa barani humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…