Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ee bwani kitunguu bado kipo juu kileleni juzi nimeenda gengeni nimeomba kitunguu cha mia mbili hicho kitu nilichopewa hatari

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kabisa.. nilipewa kama mwezi mmoja wa kumuhudumia mtu, kuingia gengeni nkashindwa kuchagua vitunguu maana kila nachokiona kibovu. Ukiwauliza wanakuambia mvua vitunguu vinaharibika.

Ila at least saa hii japo bei haijapoa sana ila sio vibovu sana
 
Unnecessary panic bro....

Hapa sasa kuna misururu mireefuuu kwenye maduka ya silaha watu wananunua bunduki na risasi kama njugu. Why?
Sasa sijui ni ufikishwaji mbovu wa taarifa au vipi sijui, ngoja 2029 ikifika na taarifa za lile jiwe zikienea kama za Corona nahisi wakina mpendwa watapeleka mali zao misikitini bado mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…