Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Paka' anaweza kunywa maji ya bahari yenye chumvi bila shida yoyote sababu figo zake zina uwezo wa kuchuja kiasi cha chumvi kinachopatikana katika maji hayo bila matatizo yoyote. Binadamu kama utakunywa maji hayo unaweza kufa kwa kiu' kikali zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…