■Conscience' (Nomino) ni uwezo au ujuzi wa kutambua mazuri na mabaya.■Conscious' (Kivumishi) Kuwa na uwezo wa kutambua au kuwa na ujuzi kuhusu jambo fulani.■Consciousness' (Nomino) Hali ya kuwa Conscious'. Kuanzia kihisia mpaka unachofikiria.(Concise English Dictionary)
Rais Teodoro O. Nguema wa Equatorial Guinea ametimiza miaka 40 madarakani, akiwa ndiye Rais aliyetawala muda mrefu zaidi duniani. Alitwaa madaraka Augosti 3, 1979 kwa kumpindua mjomba wake, Francisco Nguema. Mwaka 2012 alimteua mwanae, Teodoro Nguema Mangue kuwa Makamu wa Rais.
Lupita Nyong'o alijua kuwa lazima atafanya kazi na muongozaji, mwigizaji pia mwandishi wa filamu Jordan Peele' hasa baada ya kutazama filamu ya Get Out' (2017) zaidi ya mara 5. Kilichotokea akafanya nae kazi katika filamu ya Us' (2019).
Kuweka mishumaa katika keki ya siku ya kuzaliwa, Mishumaa' husimama kama Mwanga wa maisha' Imani nyingine kabla hujapuliza mishumaa yakupasa ujitakie heri katika maisha yako na unapopuliza mishumaa ni ishara ya kusafirisha ujumbe (heri) kwenda kwa Mungu. Kuna imani nyingi kuhusu kupuliza mishumaa' lakini hiyo ndiyo inaaminiwa zaidi na watu.
"Ili kuepuka kuwashwa sehemu za siri ziweke sehemu zako za siri katika hali ya usafi na ukavu, kwa maana unyevunyevu unaweza sababisha maambukizi kama fangasi. Matumizi ya poda yanaruhusiwa hasa kipindi cha joto kali. Badili nguo ya ndani angalau kila siku," Dk Mabula
"Kuvaa nguo ya ndani ya kubana sana huongeza uwezekano wa fangasi kuzaliana kwa haraka zaidi hasa maeneo yenye joto kama mikoa ya ukanda wa bahari pia hupunguza ubora wa mbegu za kiume," Dk Mabula
Mbunifu Bw. Dominic Wilcox ametengeneza miwani inayowawezesha watu ambao si warefu kuona vitu vinavyoendelea mbele bila bughuza yeyote Mfano kutoka kwa watu warefu. Miwani hiyo inamuwezesha mtu kuona umbali zaidi wa Sentimita 30.5 zaidi kuliko uwezo wa macho yetu pale utapo vaa.
Mtetezi wa haki za wanyama wa Ufaransa, Aymeric Caron amewasihi watu kutokuua mbu wanapowafyonza damu, isipokuwa Afrika ambapo kuna hatari ya Malaria. Amesema mbu hufyonza damu kupata protini kwa ajili ya mayai yake, na kuwa kumuacha mbu akuume ichukuliwe sawa na kuchangia damu.
Hauna misuli yoyote kwenye vidole vyako vya mikono. Misuli inayofanya vidole vyako mpaka vinajongea (move) inatoka kwenye viganja vya mikono yako pamoja na misuli ya mkono.
Kujaribu kutaka kujiua nchini Korea Ya Kaskazini' adhabu yake ni kifo kitakatifu. Hivyo ukitaka kujiua basi hakikisha unafanya tendo hilo kisawasawa ili usije kwa bahati mbaya ukajikuta bado upo hai.
Ripoti ya nchi zinazoongoza Duniani kwa kuwa na vifo vingi vya watu kujiua (2019).1. Lithuania2. Russia3. Guyana4. South Korea5. Belarus6. Suriname7. Kazakhstan8. Ukraine9. Latvia10. Lesotho(Chanzo: World Population Review).
Dr Dre Katika Kukaa Kwake Na Eminem Miaka Yote Anasema Hajawahi Kuwaza Kama Eminem Ni Mzungu' Yani Namna Wanavyoishi...Anavyoishi Kama Mtu Mweusi'. Hata Siku Ya Kwanza Baada Ya Kusikiliza Tracks Zake Pale Alipokutana Nae Hakufikiria Kabisa Kama Kazi Zile Alizosikiliza Zilikuwa zimefanywa na Mtu Ambae Ni Mzungu'.-Dr Dre Anakwambia Kwake Hajawahi Kujali Kama Eminem Ni Wa Kijani, Bluu, Mwekundu Anachojali Ni Kipaji Anacho Tena Cha Hali Ya Juu, Basi Atafanya Nae Kazi Mpaka Basi'.