Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ukiachana na Taiga', Tembo pia ni mojawapo ya wanyama wanaopenda kulipiza visasi' pale unapoikosea. Wana kumbukumbu kubwa sana katika kutunza matukio mbalimbali.
haah, kweli zote unaziona nzuri..? mie hapana kuna zingine sizielewikwann kila wimbo wa David hua ni mzuri. Au nimasikio yangu tu
Kama samaki ni wanyama basi mimi napenda sana wanyama. 😀😀Wanawake huvutiwa zaidi na wanaume ambao wanapenda wanyama.
Hehehee sipendi wanyama hasa mbwa,pakaKama samaki ni wanyama basi mimi napenda sana wanyama. 😀😀
Hahaa, we vipi bana. Hupendi wanyama? 😀 😀🚶♂️🚶♂️🚶♂️Hehehee sipendi wanyama hasa mbwa,paka
KabisaaaaHahaa, we vipi bana. Hupendi wanyama? 😀 😀🚶♂️🚶♂️🚶♂️