Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karibia 70% ya bata hujamiana kwa ubakaji. Wanasayansi wanadai kuwa maumbile ya kiume ya bata hayana umbo zuri hivyo huwaumiza majike wakati wa kujamiana. Hali hiyo hupelekea bata majike kugoma kujamiiana tena mara baada ya kuumizwa mara ya kwanza. Hata hivyo madume hutumia nguvu. (NationalGeographic)
 
Rio Hamza: Chini ya mto Amazon kuna mto mwingine ambao una ukubwa karibia sawa na Amazon wenyewe. Mto huo unapita ndani ya ardhi na upo mita 4000 chini ya Amazon halisi. Uligunduliwa mwaka 2013 na Profesa Valiya Mannathal Hamza aliyeongoza jopo la wanasayansi waliogundua mto huo. (BBC & Wikipedia)
 
Densuke Watermelon' nchini Japan ukitaka kulinunua moja linauzwa Tsh 278,255. Mwaka 2008 limewahi kuuzwa kwa Tsh Milioni 14. Yanalimwa nchini Japan tu katika mkoa wa Hokkaido'. Kwa mwaka huvunwa matikiti yasiyozidi 100, sifa yake unaambiwa yana utamu wa kipekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…