Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika ligi daraja la pili ya Ufaransa, Ligue 2, mchezaji Hyun-Jun Suk wa klabu ya Troyes alikutwa na virusi hivyo, wakati kwenye La Liga beki wa kati wa Valencia, Ezequiel Garay ndiyo mchezaji wa kwanza kwenye Ligi hiyo kukutwa na corona.
 
ORODHA YA KAMILI

Daniele Rugani (Juventus)

Manolo Gabbiadini (Sampdoria)

Omar Colley (Sampdoria)

Albin Ekdal (Sampdoria)

Antonio La Gumina (Sampdoria)

Morten Thorsby (Sampdoria)

Fabio Depaoli (Sampdoria)

German Pezzella (Fiorentina)

Patrick Cutrone (Fiorentina)

Dusan Vlahovic (Fiorentina)

Callum Hudson-Odoi (Chelsea)

Mikel Arteta (Arsenal)

Luca Kilian (Paderborn)

Timo Hubers (Hannover)

Hyun-Jun Suk (Troyes)

Ezequiel Garay (Valencia)
 
Anko binti mpole, kwa heshima uliyo jipatia kwa uelimishaji wako hapa, naomba mimi kama mimi nikuheshimu kuanzia sasa kwa kukuita Mama semina, ni vingi nimejifunza kutoka kwako, hasa ya kulala mchana kwa ajili ya yale mambo,vikorombwezo vya kunyoa, na mengine mengi.
Heshima iwe yako kweli maana ni juhudi zako [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…