Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
πππ mchana wa leo nikilala basi nitapata faida mbili, ile ya tafiti na hii ya barakaWaaaow notes noted [emoji23][emoji23]
Kalale tena mchana utaiona baraka yenyewe
Wanafunzi bhana[emoji16][emoji16]Afadhali
Wachaaa[emoji134][emoji134][emoji134]Ukiweza nitafanya kama yule shabiki wa Simba aliyewekwa na Moud hapa [emoji3]
Hili suala la mask linahitaji elimu kwakweliHio id naitaman maana nitaonekana mhenga ila sasa sina fact za kuielezea mpaka nirudishiwe
Koromije korona hamna ila waendesha baiskel mwanzo mwisho mask cheeeiii
Mmmh TP hazinihusu mie,hapa ni mwendo wa maji kama kawaida
Andaeitini uliyejua internet mapema unataka uitwe muhenga?[emoji23][emoji23]Basi nioneni na mimi muhenga au hamuoni nimeingia mwaka gani humu?
Hili suala la mask linahitaji elimu kwakweli
Watu wanavaa na hawajui kwanini wanavaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani, Mama semina amesema 75% wanafika safari yao, hiyo 25% achana nayo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mzima sana
Sijui wewe
Za kupotea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo vaeni wenyeweKuna Package Hapa Mama Nikuletee ,[emoji23][emoji23]
Watu wanajivalia tu ili mradi fashenHili suala la mask linahitaji elimu kwakweli
Watu wanavaa na hawajui kwanini wanavaa
Hahahahah nimeona insta wafanyabiashara wanazishika kwa mikono hata sio misafi eti wanazihesabu zipo ngapi ili wajue faidaHizo vaeni wenyewe
Nasikia mnavaa zile disposable ila nyie mnafua mvae tena?[emoji16][emoji16]
Mefurahi zaidi kukuona ila uache kupotea sana.Safi Hofu Ilikuwa Kwako Mama.
Nafurahi Kukuona Tena
Japo Namba Yako Sijui Ulifungiwa Nikashindwa Kubonga Vyema[emoji6]
Hizo vaeni wenyewe
Nasikia mnavaa zile disposable ila nyie mnafua mvae tena?[emoji16][emoji16]
Mefurahi zaidi kukuona ila uache kupotea sana.
[emoji16][emoji16]unajitetea eeh,maana uliondoka bila kuaga