Kwanini baadhi ya watu hulewa haraka zaidi kuliko wengine? Kulewa haraka hutegemea umri, jinsia, uzito, kiasi cha chakula alichokula kabla ya kunywa, amekunywa pombe haraka kiasi gani, matumizi ya dawa za kulevya na historia ya familia kwenye matatizo ya pombe," Dr Mabula.