Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna matukio mengi ya watu kufa sababu ikiwa kujichua (Punyeto) mfano, mwaka 2018 katika siku ya Wapendanao kijana kutoka Afrika Ya Kusini alifariki baada ya kuzidisha kujichua inakadiriwa zaidi ya mara 62 mfululizo. Lakini Kisayansi hakuna tafiti yoyote inayoonesha kuwa Kujichua kuna madhara.
 
Nimeshawahi kushuhudia joka likipaazwa kwenye moja ya hifadhi zetu.
Kabla ya hapo nilishawahi kupata simulizi za matukio ya aina hiyo toka kwa wavuvi wa bahari ya hindi ambako matukio kama hayo ni mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…