carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Poleni aiseh!Tupo tunapambana na Corona.
Hawajui kivipi yaniT-shirt zilianza kutengenezwa mwaka 1904 zikiwa ni maalum kwaajili ya Wanaume ambao hawajui kufunga na kufungua vifunguo vya mashati.
Ndaga mwee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Member yule yule [emoji16][emoji16]
Kumbe eeh![emoji848][emoji848]Mbu' wana uwezo wa kunusa na kugundua aina ya damu yako. Damu grupu 0' ndiyo wanaipenda zaidi. Na hiyo ndiyo sababu kama una Grupu 0 la damu unang'atwa sana na mbu'
KhaaaaAutassassinophilia ni aina ya paraphilia ambapo mtu anapata msisimko wa kingono kwa kutishiwa uhai. Mfano wakati wa tendo anataka afungwe kamba kama ametekwa, akabwe shingoni, atishiwe na bunduki n.k (Wikipedia)
ππ jamaniCornflakes' zilitengenezwa kwaajili ya lengo la kuwazuia watu kujichua (Punyeto).
Sura mpya miguu ya zamani [emoji16][emoji16]Member yule yule [emoji16][emoji16]
Oyaaa mguruguja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji137][emoji137][emoji137]Tupo tunapambana na Corona.
Kwamba mimi ndio bingwa wa kubadili?[emoji16][emoji16][emoji16] acha mambo yako unanilinganisha mimi na karma!?Karma au Khantwe [emoji848]
Wanafaidi kitu gani?Nifundisheni na mimi kubadili I'd maana wenzangu mnafaidi njoo pm
Kwema kabisa mzee mwenzangu, habari ya Down town Nansio?We Mlugaluga, Kheri?
π π π πββοΈOyaaa mguruguja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji137][emoji137][emoji137]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yego nae ni muhenga?
CHAPUTA inabidi waende Ujerumani kujiongezea maarifa aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Kila mwaka zaidi ya Wajerumani 100 hufariki kwa kuzidisha kujichua (punyeto).
Hakuna madhara kabisaKuna matukio mengi ya watu kufa sababu ikiwa kujichua (Punyeto) mfano, mwaka 2018 katika siku ya Wapendanao kijana kutoka Afrika Ya Kusini alifariki baada ya kuzidisha kujichua inakadiriwa zaidi ya mara 62 mfululizo. Lakini Kisayansi hakuna tafiti yoyote inayoonesha kuwa Kujichua kuna madhara.
Yup!
Down Town Nansio uvuvi kama kawaida Mkuu. Na UGUMU uko palepale! π π