Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Aisee kumbeeeMbu' wana uwezo wa kunusa na kugundua aina ya damu yako. Damu grupu 0' ndiyo wanaipenda zaidi. Na hiyo ndiyo sababu kama una Grupu 0 la damu unang'atwa sana na mbu'
Huwa napenda sana kufua na kupika.Yaani namnyima utetezi wa kuchoka shughulini...Ankoo msaidie aunt kazi[emoji16][emoji16]
Nilitaka nimuite Bradha ampokeeKumbe wewe ndiye yule Bingwa wa kubadirisha badirisha ID, mi nilidhani mgeni nikukaribishe kinywaji[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Karma!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CHAPUTA inabidi waende Ujerumani kujiongezea maarifa aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Slap me daddy. Slap me again daddy. You can choke me daddy [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Paraphilia, ni hali ya kupenda kufanya vitu vya ajabu wakati wa kufanya tendo la ndoa au kupata hisia za kufanya tendo hilo. Watu wenye paraphilia hufanya visivyo vya kawaida ili kupata msisimko wa kingono. Mfano; kuangalia picha za ngono, kutaka kung'atwa, kupigwapigwa, kuguswa na vitu kama vyuma n.k wakati wa tendo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mujibu wa Tafiti Ubongo wa Binadamu wenyewe haujielewi kiutendaji.
Si walikuaga wanavaa magome ya miti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😄😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho kilikuwa ni aina ya kimbunga (nsoke) na huyo ni kweli lazima alikuwa ni ndege akiwa amenaswa kwenye hicho kimbunga. Siyo ushirikina [emoji16][emoji16][emoji16]Lol, nimekumbuka nikiwa Mbeya nilishawahi kushuhudia kiumbe kama ndege kinazunguka angani lakini si ndege wa kawaida. Alikuwa akipaa kwenye wingu ambalo lilikuwa linajivingirisha kama moshi fulani hivi lakini siyo moshi, na hilo wingu lilikuwa peke yake.
Asante Z
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Slap me daddy. Slap me again daddy. You can choke me daddy [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo umechoka sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]Huwa napenda sana kufua na kupika.Yaani namnyima utetezi wa kuchoka shughulini...
Wewe Anko umeishaipata bahati hiyo?
Kama hakufanyii hayo, kabla ya Pasaka mkuje home wote wawili...
Sent using Jamii Forums mobile app