Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yego nae ni muhenga?
Ankoo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sekondari ya B. Mkapa wenzio tumecheza michezo ya kujificha kabla hatuja geuza uwanja wa mpira wa makaratasi, tunakimbizana hadi bustani za mnazi mmoja tukiwa nae
Nadhani kipindi hicho wewe hata hisia kuja duniani ilikuwa hamna [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa yuuu Ankoo [emoji23][emoji23][emoji137]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NASA wamegundua uwepo wa hewa ya Methane' katika anga la Mars'. Methane ni hewa ambayo huzalishwa na viumbe hai (Wanyama na Mimea) kutokana na hilo inazidi kuleta viashiria vizuri zaidi kuhusu uwepo wa uhai katika sayari hiyo. Usisahau mwanzoni 2024 Elon Musk amesema ataanza kupeleka watu kutalii, Bei ya tiketi haitazidi Tsh Bilioni 1.
 
Watu wanaodumu kwa kipindi cha muda mrefu katika mahusiano ambayo yametawaliwa na vurugu, sababu huwa kni Trauma Bonding'. Ni Uraibu ambao mtu anaupata kitaalamu huitwa "Hormonal Rollercoaster" ambapo mtu huyo anakuwa anacheza na Hisia zako, kuna muda anakufanya uwe na furaha kuna muda huzuni hali hiyo inakuwa inatokea mara kwa mara hivyo hukufanya ushindwe kufanya maamuzi ya kuachana nae kwa haraka!
 
Kwahiyo hivi viumbe ambavyo inasemekana vinapaazwa unavielezeaje kamanda.
Kwamba kichaka au jabali ambalo limehifadhi labda joka au samaki mkubwa kisha mahali hapo pekee panapata kiwingu kisha baadaye minyororo inashuka kunyakua kiumbe kilichopo mahali hapo na mnakiona kikielekea mawinguni
Hicho kilikuwa ni aina ya kimbunga (nsoke) na huyo ni kweli lazima alikuwa ni ndege akiwa amenaswa kwenye hicho kimbunga. Siyo ushirikina [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Niko safi anko....... wafikishie salamu hao vijana wenzangu hapo nyumbani
 
Babake mdogo huyu na bondia Mayweather). Wao na kakake (baba mzazi wa Mayweather) ndiyo walikuwa wakimfundisha mtoto wao kwa nyakati tofauti tofauti. Hali hii hata hivyo ilileta mvutano hasa baada ya mtoto wao kuwa mashuhuri na tajiri mkubwa na kipindi fulani walikuwa hawaongei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…