Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Klabu za Ligi Kuu England zinakutana kesho Alhamisi kwa kikao cha dharura cha kujadili ugonjwa wa Corona na namna ya kunusuru msimu kwa kuhakikisha mechi zote 92 zilizobaki zinachezwa kwenye viwanja huru ili kupata bingwa na timu zinazoshuka kwa utaratibu.
 
Digital technology ya wapi hata madawati tu ya shida? Umeme? Kompyuta? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…