9. Tottenham – Harry Kane
Thamani ya kikosi: Euro 787 milioni
Thamani ya MVP: Euro 150.5 milioni
Sokoni kuna vita ya saini yake, Harry Kane anataka kuondoka Spurs na kutafuta timu ya kumpa mataji, Manchester United, Real Madrid na Juventus zinapigana kuwania saini yake.
Mchezaji anayeshika nafasi ya pili kwenye kikosi cha Spurs ni Dele Alli (Euro 95.6 milioni), ambaye katika siku za karibuni kiwango chake kimetetereka.