moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Every Emergency has secret hustleView attachment 1392968
Hajapata dawa ya corona?
Mahojiano ya lini haya bwana Moud..!?
Afadhali..maana corona imeua nao wameua! maisha yanaenda
😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha wateseke tu maana hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Bi TH anataka kujua inakuaje anafanya mahojiano bila kuwa na kinga yeyote ile, au ameshapona?
😂😂😂😂😂😂 hii chest ya huyu jamaa wa kwanza sijui ipojeDar Youngs African, ikikaguliwa na mgeni wa heshima tayari kukwaana na wapinzani wao kwenye uwanja maarufu wa Ilala wakati huo ambao leo unajulikana kwa jina la KarumeView attachment 1391272
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂 umefatilia ata body lake kwa ujumla?😂😂😂😂😂😂 hii chest ya huyu jamaa wa kwanza sijui ipoje
Hahah! Sio yeye tu ata huyo jamaa wa pili😂😂😂😂😂 umefatilia ata body lake kwa ujumla?
Naona Evolution of man ilikuwa katika stages za mwisho mwisho 🤣🤣🤣🤣Hahah! Sio yeye tu ata huyo jamaa wa pili
Bi TH anataka kujua inakuaje anafanya mahojiano bila kuwa na kinga yeyote ile, au ameshapona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii chest ya huyu jamaa wa kwanza sijui ipoje
Mungu ni mkubwaKwa namna nilivyomsikia jana ni kama amepona na hasahasa ukimsikiliza kwa makini ni kama analalamika hakuwa akiumwa, maana alidai watanzania ni watu wenye maneno maneno sana.
Na amesema wakati wowote ataruhusiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Evolution of man ilikuwa katika stages za mwisho mwisho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inaonekana ya zamani sana maana hao wachezaji matunzo zero unity kabisa, ila kumbu kumbu kama hizi ni muhimu sana kuzitunza
Bi TH anataka kujua inakuaje anafanya mahojiano bila kuwa na kinga yeyote ile, au ameshapona?
enhhee...Asante kwa kunisaidia bw.Davet 😀Jana bi TH