Lakini, kusimamishwa huko kwa ligi kunamaanisha kuwa Rashford anaweza kuwahi mechi nyingi zaidi za ligi zilizosalia, lakini pia kama kweli michuano ya Euro 2020 ikisogezwa mbele kwa miezi 12 hadi 2021, basi kocha wa England, Gareth Southgate atakuwa na uhakika wa kumtumia kwenye michuano hiyo.