Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hapo gas atakayokuwa anatoa baada ya huo msosi sasa, inabidi ukae mbali nae. πMsosi wa uhakika wallahi..
View attachment 1393236
Umewaza mbali sana Poti. Kwema huko kwako?Hapo gas atakayokuwa anatoa baada ya huo msosi sasa, inabidi ukae mbali nae. [emoji3]
Ugonjwa wako poti, mamiguu! ππ
Hahaa, huku safi poti. Vipi huko, kheri?Umewaza mbali sana Poti. Kwema huko kwako?
Ndiyo poti. Yana raha yake. Ukibebeshwa mabegani huku halafu uwe unayabinya binya na kuyatekenya tekenya kwa ulimi...[emoji39][emoji39]Ugonjwa wako poti, mamiguu! [emoji3][emoji3]
ππ karma is a b*tch ππΎββοΈππΎββοΈKarma jina baya. Kama alivyoshauriwa sio vizuri kujiita vile
Daah, poti unamwaga ma ekispiriensi tupu hapo. Kama mimi nikianza kushusha ya uvuvi wa samaki. π πNdiyo poti. Yana raha yake. Ukibebeshwa mabegani huku halafu uwe unayabinya binya na kuyatekenya tekenya kwa ulimi...[emoji39][emoji39]