moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hebu litamke nisikie linavyotamkwa kwamba ni Zo au Zoi[emoji23][emoji23]
Nalo tunahesabia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya nne bhana, hilo Edelyn si ndiyo nilianza nalo kwahiyo sijalihesabia.
Moana wa MauiMoana!
Moana wa Maui
Hakuna wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa sasa hauoni kuwa unapingana na ukweli ??
Umeyajua leo ndio mana ukapiga pichaKuna andaeitini wengi tu humu hawajui majani ya karangaView attachment 1393328
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huyu wa kuzijua karanga Leo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeyajua leo ndio mana ukapiga picha
Ndio weweMimi huyu wa kuzijua karanga Leo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaonyesha andaeitini msiojua majani ya karanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio wewe
Hahah ni "Zoi" mkuu siyo "Zo"
Nalo tunahesabia
Sawa dada zoazoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitakuchapa muone kwanza