moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa sasa hauoni kuwa unapingana na ukweli ??
Kuna andaeitini wengi tu humu hawajui majani ya karangaView attachment 1393328
Umeyajua leo ndio mana ukapiga picha
Hem toa hicho kimdoli acha ujingaNawaonyesha andaeitini msiojua majani ya karanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hivi ndivyo yanavyovunwa
Karanga zinang'olewaView attachment 1393345
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimlinganishe zuu na vitu vya ajabu."Ndege wafananao huruka pamoja"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanajidai wahenga humu kumbe hata karanga hawazijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ndiyo hayo!?[emoji23][emoji23]
Kwahiyo leo umeamua kwenda shamba na bibi yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba nijiachie uso?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu wanajidai wahenga humu kumbe hata karanga hawazijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo Sio shamba..Hapo Ni kijishamba Cha nyumbani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mazingira mazuri Anne unafaidiYaani hapa Ni nyumbani Sio shambani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wa dar mtajua hapo Ni shambani[emoji23][emoji23]
Huyu dada yangu nampenda Sana..Kuna vingi najifunza kwakeView attachment 1393379View attachment 1393394
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa hata mie sikutaka kukuzoea jamani bora hii zoe kuizoea rahisi mnoBora wewe umenisaidia kusema, kuna baadhi ya members waliniambia eti ile id ya Karma ilikaa kishari na kufanya waniogope.
Safi kabisaYaani hapa Ni nyumbani Sio shambani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wa dar mtajua hapo Ni shambani[emoji23][emoji23]
Huyu dada yangu nampenda Sana..Kuna vingi najifunza kwakeView attachment 1393379View attachment 1393394
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣 unaelewa nini wewe?Safi kabisa
Nimekukamata muhenga mayai mayai.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hapa Ni nyumbani Sio shambani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wa dar mtajua hapo Ni shambani[emoji23][emoji23]
Huyu dada yangu nampenda Sana..Kuna vingi najifunza kwakeView attachment 1393379View attachment 1393394
Bora wewe umenisaidia kusema, kuna baadhi ya members waliniambia eti ile id ya Karma ilikaa kishari na kufanya waniogope.
Kyela Kuna joto Sana.Ulisema jana kuwa mahali ulipo pana joto kali, mbona manthali inaonyesha kuwa uoto wa asili uko poa kabisa hapo.
Joto linatoka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekukamata muhenga mayai mayai.
Kumbe zile alizeti unazowekaga myoya akisema poleni wakulima..kumbe Ni za kugoogle
Kyela Kuna joto Sana.
Kama dar tu.