Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ndiyo maana nakwambia narudi kule Kwenye ukatibu wangu wa Beijing conference[emoji1787][emoji1787][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] haya maneno umeanza lini we mtoto
Una phobia ya nyoka?
Unadhani anakujua Basi!
Anakisia tu..
Bibi yako ulisema anaitwa Nani?labda naweza kwenda kumsalimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaa, nimekumbuka bwana. Nakumbuka mwezi wa kwanza niliugua mafua yaliambatana na homa kali sana, halafu yalidumu zaidi ya wiki wakati mimi mafua huwa naugua siku tatu. Ila mbona watu wa karibu yangu hawakuambukizwa?Niwaambie kitu?? Hiv mnajua km CORONA tulikua nayo na watu tumeugua sana ila serikali haikujua ni ugonjwa gan??
Km mnakumbuka miez km mitatu au minne watu tulikua tupata mafua makali sana na homa kali mno na baadae kikohozi kikavu cha kuumia kifua.... Mpaka selikali ikasema kuna aina ya mafua makali yasiyo ya kawaida yanasumbua na yakatajwa baadhi ya maeneo ambayo watu wameonekana kuugua sana... Na ile homa ilikua inakaa ndan ya wiki tu unaanza kupona...!! Na dalili zake na tabia yake ndo hiyo hiyo ya Corona 100%.
*Mnakumbuka hilo??*
Sent using TECNO F1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bibi yangu ni wajina wangu, najua kumsalimia hauendi.
Daah yaani usiseme kabisa, hivi ninyi hamuogopi nyoka?Una phobia ya nyoka?
Mimi sikumbuki.Niwaambie kitu?? Hiv mnajua km CORONA tulikua nayo na watu tumeugua sana ila serikali haikujua ni ugonjwa gan??
Km mnakumbuka miez km mitatu au minne watu tulikua tupata mafua makali sana na homa kali mno na baadae kikohozi kikavu cha kuumia kifua.... Mpaka selikali ikasema kuna aina ya mafua makali yasiyo ya kawaida yanasumbua na yakatajwa baadhi ya maeneo ambayo watu wameonekana kuugua sana... Na ile homa ilikua inakaa ndan ya wiki tu unaanza kupona...!! Na dalili zake na tabia yake ndo hiyo hiyo ya Corona 100%.
*Mnakumbuka hilo??*
Sent using TECNO F1
Hii mishale tunayokwepa, mingine ni kwa neema tu. 😀
Ni sawa na useme kwamba dar wapo wazaramo tu
Halafu ungejua mbeya mjini hakuna wasafwa wengi..wengi wamejaa swaya na mporoto vijijini njia ya kujia tukuyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli hata mimi nyoka ni kiumbe ninayemuogopa kuliko viumbe wengine wote. Akiingia ndani kwangu siingia ng'o, mpaka atoke. 😀
Mi namjua mmoja tu.Na Chunya, wale ni wakulima ndiyo maana wanapenda sana kukaa milimani. Na wengi wao huwa hawafanikiwi kiuchumi, wasafwa matajiri wanaojulikana Mbeya hawafiki kumi.
So far mie nawafahamu wawili tu
Mimi nadhani hata hiyo nyumba nitahama kama nimepanga [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa kweli hata mimi nyoka ni kiumbe ninayemuogopa kuliko viumbe wengine wote. Akiingia ndani kwangu siingia ng'o, maak atoke. [emoji3]
Kwamba?Kwa kweli hata mimi nyoka ni kiumbe ninayemuogopa kuliko viumbe wengine wote. Akiingia ndani kwangu siingia ng'o, mpaka atoke. [emoji3]
Unipeleke tukale wali wa Kyela uliopikwa kwa mawese na samaki wa mto Songwe
Daah wale samaki wa kyela jamaniUnipeleke tukale wali wa Kyela uliopikwa kwa mawese na samaki wa mto Songwe
Nyoka bana. Nyoka kweli, ooh! 😀
Mimi naona Ni sawa tu
Huku ukija mwezi wa 9 ndio utajua kuwa joto lake Ni sawa na dar tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ukalale mpwa wa melo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaniangusha Poti [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa kweli hata mimi nyoka ni kiumbe ninayemuogopa kuliko viumbe wengine wote. Akiingia ndani kwangu siingia ng'o, mpaka atoke. [emoji3]