Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Yaani simu yangu asilimia zinakatika mbio[emoji26]
Hata siamini[emoji134]
Mlale salama
Sent using Jamii Forums mobile app
We akiingia unamfanyaje?
Mimi sipendi kusafiriIla nimepamiss Kyela, nimemiss kuvuka border kuenda Karonga. Siku nikipata nafasi nitaenda hadi Lilongwe, napenda kusafiri mimi daah.
Poti siyo siri, nyoka nawaogopa aisee.Unaniangusha Poti [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1393449
Sawa dadake max[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu huko, mhaya na mnyakyusa wapi na wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora ukalale ukuwe, usiku mwema toto.
Nyoka akiingia ndani kama una mafuta ya taa weka matone machache sakafuni halafu yawashe. Akisia tu harufu yake huyoo keshaenda zake....ila uangalie usiunguze nyumba [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwamba wote mdada na mkaka tutakaa kushangaa na kusubiri atoke?We akiingia unamfanyaje?
Basi miye hata nimkute kitandani asubuhi kajipenyeza wala sishtuki [emoji16]Poti siyo siri, nyoka nawaogopa aisee.
Ndiyo maana nakwambia narudi kule Kwenye ukatibu wangu wa Beijing conference[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
KumbeNyoka akiingia ndani kama una mafuta ya taa weka matone machache sakafuni halafu yawashe. Akisia tu harufu yake huyoo keshaenda zake....ila uangalie usiunguze nyumba [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji44][emoji44][emoji44]Basi miye hata nimkute kitandani asubuhi kajipenyeza wala sishtuki [emoji16]
Saint Anne, Hapo akili kichwani dada. Kila mtu kivyake, hakuna namna. 😀
Ila Mimi nimemmiss hatariHuko mtarudi wewe na Jael, halafu unajua hilo jina alinibatiza yeye. Mchokozi sana yule, eti "kama siyo yule Mbeijing".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tabia mbaya,kwanini siendi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasaidia pia ukijua kama ana sumu ama la...Nilishawahi kuumwa na joka wakati tunavuna mahindi nikalikanyaga. Madawa ya wazee wa kijijini yakanisaidia hata hospitalini sikupelekwa.Kumbe
Nitajaribu..japo sijawahi kumbwa na nyoka Mimi nyumbani
Nahisi nikija muona nyumbani nitazima hapohapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie jina lake niende kesho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We si nakujua hupendi kuzurura, yaani unataka ukikaa sehemu moja ndiyo hapo hapo utafikiri unaatamia.