Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe ni mzaliwa wa Mbeya mjini, kwenu ni Mbeya mjini, lakini kiasili kwenu ni Kyela/Tukuyu.
Usiogope hili, maana hata Tukuyu kuna Wasafwa walioishi huko zaidi ya miaka 50 lakini kiasili kwao ni Mbeya mjini milima ya Iyunga, Ilemi, Itua nk.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa ustaadh umeshinda

Ulisema Kama Ni mbeya mjini Basi nitakuwa msafwa.. nikakwambia Mimi sio msafwa.
Yawezekana wasafwa ndio wenyewe ila kwa Sasa watu Ni wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…