Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,151
Ewaaaah..nilikuwa nafikiria hapa nimesahau jina ganiUmeruka Edelyne [emoji16][emoji16][emoji16]
Chumvi kwani umeambiwa uyanywe?
Kizaramo [emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
R.i.pMwanamuziki Aurlus Mabele, aliyetamba sana miaka ya 90 Amefariki nchini UfaransaView attachment 1393789
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wewe tangu jana, mimi nina kama wiki 2 sipati notification yoyote kwenye app.....Nimejaribu kuipakua upya lakini shida iko pale pale
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38] sasa Bwana Moud, katika harakati za kuogelea pale maji huwa yanaingia mdomoni au puani.....Au ni kwa sisi waoga pekee[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Mhenga huyu miaka ya 80 huko alitupelekesha sana aisee. Huyu na Madilu Multisysteme nilikuwa nawakubali sana....Mwanamuziki Aurlus Mabele, aliyetamba sana miaka ya 90 Amefariki nchini UfaransaView attachment 1393789
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina mashaka kama ulikuwa umeshazaliwa enzi za huyu jamaa....R.i.p
Nakumbuka ule wimbo wake alusii mabeleeee..hapo unajitahidi kutikisa mwili ili upate sh5 ya pipi zenye Sukari nyingi[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeeh..nilikuwa nimezaliwa na mziki wake nimeuchezaNina mashaka kama ulikuwa umeshazaliwa enzi za huyu jamaa....
Bado nina mashaka sana.....
[emoji3][emoji3][emoji3] kwanini..huamini?Bado nina mashaka sana.....
Siamini kama miaka ya 80 huko eti ulikuwa kamtu kabisa nyimbo za huyu mhenga zinapigwa unajitikisa ili upewe pipi tamu zenye sukari nyingi.
Hivi wajua mziki wake ulichezwa hadi kwenye 90 naaa..!!..Sasa hiyo 90 nk si nilikuwa kabinti kabisa ka kutikisika na misong ya Bwana alusi mabeleSiamini kama miaka ya 80 huko eti ulikuwa kamtu kabisa nyimbo za huyu mhenga zinapigwa unajitikisa ili upewe pipi tamu zenye sukari nyingi.
Marianah..Adrianna..karma..moanna..zoë [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app