Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hilo tatizo hata mie lilishawahi kunitokea hilo dawa yake ni kufuta app na kuipakua upya, ila hili tatizo la sasa kila ninachofanya hola.
Miye kwangu picha hazionekani kwenye app. Sijui kama tatizo ni hii TECNO ama nini. Nimefanya kila ujanja hakuna kitu mpaka imebidi nitumie tapatalk yenyewe...
 
Tatizo ni hivyo viungo ninavyovitaka kule ni tabu kupatikana ndiyo maana, ila ikitokea nimevipata huwa najipikia chakula changu na viungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…