Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni samaki mama, tena samaki ambaye uwepo wake unatokana na uchafu. Ndiyo, kambare anaweza akajizalisha mwenyewe kutoka kwenye dimbwi au bwawa lenye maji machafu.

Ndiyo maana umbo lake ni kama viluwiluwi vya chura, hata awe mkubwa vipi.
Uso wake unatisha mno nashangaa wanaokula nilidhani ni jamii ya nyoka ukimuangalia anafanana huwa najiuliza pia watu wanawezaje kula pweza, kamba aisee
 
Tunajifunziaga kwanza kwenye swimming pool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…