Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro niliwahi kusema huko nyuma kuwa corona ni kifo, ila mawazo ya walio wengi yaliekea kwenye maumivu anayopata mtu baada ya maambukizi.
Kifo hasa kinakuja kwenye nchi zetu masikini mnapojikuta mnafunga mipaka, mnafunga mall, mnafunga viwanja vya ndege, mnafunga night club, mnafunga kila kitu na kuwaweka wananchi kwenye vizuizi vya nyumbani.
Bro, Tanzania na watanzani ni masikini wa kutupwa, kufunga vyote hivyo ndiyo kifo chenyewe. Serikali itateseka na wananchi wataangamia.
Nini kitatokea endapo mipaka itafungwa kwa muda?
 
Ni hatari bro
 
Upo sawa kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…