Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mafua yasitutishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Take it seriously bro...

Hatujui tutapata strain ipi...

Marekani kule kuna idadi kubwa ya vijana between 19 - 54 wanaishia ICU kwenye ventilators hata hawajui ni kwa nini. Wameanza kusema pengine wamepata strain ambayo ni aggressive zaidi....

Na haya siyo mafua. Kimsingi hii ni pneumonia...mapafu yote yanajaa maji na unakufa sawa na mtu aliyezama majini...

Tufuate masharti ya wataalamu na kuchukua tahadhari zote....
 
Mwanzo si mlisema Ni mafua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks mkuu. Sasa hivi tuko isolated sana hata kazi tunafanyia home. Nikitoka nje ni kufuata msosi then ndani. Life limekuwa la kujitenga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…