Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Matani yote huku mtandaoni unakuta sijui atupandile mwakadirisha wa uyole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu sijui kwanini watu wengi wakisikia Mbeya sehemu ya kwanza wanayowaza ni Uyole, anyway yawezekana ni vile ndiyo sehemu ya kwanza inayokukaribisha Mbeya mjini.
[emoji4][emoji4]
Mimi napenda MMUNi kweli, mi napenda sana mijadala ya kisiasa, na kwakweli nimeipenda jf kwa sababu za kisiasa.
Lakini hivi sasa siasa zimejaa upuuzi mwingi, nimeichukia sana siasa maana siasa imekuwa ya kibwege sana.
Kwahiyo nimeona heri nibaki hapa tu.
Majukwaa kama MMU sipendezwi na aina ya mijadala yake.
Labda majukwaa ya michezo, intelligence, historia, angalau hayo