Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahaha, kwakuwa hiyo uyole iko Mbeya waacheni watani zenu wafaidi wanavyoweza.
Maana nijuavyo kwenye uzi huu jina la karibu tunalopenda kulitumia ni Mwakaleli
Matani yote huku mtandaoni unakuta sijui atupandile mwakadirisha wa uyole
Sijui atuselfie wa uyole
Yaani kila kitu uyole.

Hata ninapoandika hii msg nipo uyole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…