Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aiseee , sasa carba anashangaa nini[emoji23][emoji23]Chuma ya doshi ni fenesi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1395480
Mimi sijashangaa bhana
Ayaaa tenaNa korona hii sipandi ndege ng'o hata kama ina tiviii kwa ndani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ni mtazamo mc usiogope kiburiMtazamo
[emoji16][emoji16][emoji16]Mimi sijashangaa bhana
Sura ya fundi umeshaielewa nenda tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mtazamo mc usikwepe umandeNi mtazamo mc usiogope kiburi
Bora ukemee mabaya usifie mazuri
Mziwanga[emoji23][emoji23]View attachment 1395489
[emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sana, nikiwa na umri huo ndio nilianza kuishi na sister kila akiniudhi nachukua vinguo vyangu natia kwenye mfuko naanza safari, kama nakujua ninakoenda[emoji23][emoji23]View attachment 1395489
Ni mtazamo mc usikwepe umande
Okoa sanaa ya bongo ili uchumi upande
[emoji23][emoji23][emoji23]Mziwanga
[emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sana, nikiwa na umri huo ndio nilianza kuishi na sister kila akiniudhi nachukua vinguo vyangu natia kwenye mfuko naanza safari, kama nakujua ninakoenda
Sent using Jamii Forums mobile app
SoniaMtoto Sonia mimi nimekuzimia
Katika kukupenda mimi nimeonesha nia
Best Collaboration of all timeHii nyimbo nilitokeaga kuipenda sana.
Solo sijui kajichimbia nchi gani