The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Eeh hivyo hivyo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji847][emoji847][emoji847]
Kamenijibu wa [emoji23][emoji23] tu
Sawa Carba tunakutakia mapambano meme 😘Naenda pambana na corona[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivyowajibia kwa uchungu sasa. Daa! [emoji119]
[emoji23][emoji23]
Shukran[emoji8]Sawa Carba tunakutakia mapambano meme [emoji8]
😀😀😀 asante QueenWe [emoji7] u more.
Nimemjibia na KD.....asijishaue kujibu[emoji19]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesoma vibaya
Mtoto anaendeleaje abby skills?[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
KD was here ✈✈Carba was here[emoji470][emoji470][emoji470]
Shemeji kipenzi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Hata kama inafinya na ku massage??[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Punguza hasira [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sana, nikiwa na umri huo ndio nilianza kuishi na sister kila akiniudhi nachukua vinguo vyangu natia kwenye mfuko naanza safari, kama nakujua ninakoenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya Inzi kufia juu ya kidonda poti. 😀😀Shemeji kipenzi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kama inafinyiamo ndani kwa ndani na ku massage mumo kwa mumo halafu moto moto rojo rojo fulu mchuruziko mbona tiketi itakatwa hata kama ni kwa bei ya kulangua?
Basi mi bana nikalikoroga huyoo kitindamimba nikasepa home. Siksi manths hakuna aliyekuja kunitafuta. Hii huwa inaniuma mpaka leo japo kwa upande mwingine imenifanya kuwa jasiri sana kiasi kwamba sijali sana mahusiano na mtu akizingua nasepa tu kiaina kwa sababu najua kuwa kama nikiwa darasa la 4 niliweza kusavaivu miezi sita mizima nikiwa peke yangu mbona kwa sasa nishindwe? Na watu huwa hawanielewagwi. Not good !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto wa mwisho mnashida sana
Ni mwaka gani ilikuwa? Just curious [emoji16][emoji16][emoji16]Enzi hizo mziki ulikuwa mziki hasa