Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ina mission na ishu za kipelelezi..hasa hasa terrorist kwa season 1...ni aina ya series kama the blacklist,homeland,condor,berlin station na strike back..

Itafute uangalie hautajutia muda wako.
ahsante sana ila pia pumbavu zako kwa kunitajia mlolongo mkubwa wa series.......

peak blinders + good doctor (american remake) = ndizo nilizoangalia maishani mwangu
 
Watoto wa kupandikizwa, ni njia ya kitaalamu inayofanyika pamoja na njia nyingine za uzazi kama vile IVF (in vitro fertilization) ambapo zaidi ya yai moja la mwanamke huwekwa kwenye mfuko wa uzazi, ambapo huongeza nafasi ya kupata mapacha.
 
Utafiti wa madktari umeonyesha wamama wasiotumia nyama wana nafasi kubwa ya kupata mapacha. Kupungua kwa kiwango cha mapacha miaka ya 1990 ilisababishwa na matumizi ya madawa ya kukuzia ng’ombe kwa ajili ya maziwa na nyama.
alikuwepo jirani yetu alibahatika kuzaa mapacha mara mbili............ (ni ndoto yangu kuzaa mapacha) baadae nichukue likizo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] naona amekupatia chimbo jipya la kuondolea stress. Ila daemusin kiboko
hapana hapana......wazungu hawanipi mzuka (naweza kuiangalia miezi 6 bila ya kuimaliza)
hawapo romantic, hawana muda wa kukoga, hawana muda wa kula kwa uhuru.
muda wote wapo kwenye harakati kuliko fisi
 
Utajuaje kama umepata ujauzito wa mapacha?.Kiwango cha juu cha homoni, ambayo husababisha kuongezeka kwa kiwango cha magonjwa ya asubuhi katika kipindi cha wiki mbili za kwanza za ujauzito wakati mwingine unaweza kupata ugonjwa wa asubuhi kujulikana kama “hyperemesis gravidarum” na pia kichefuchefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…