Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Za wazungu tatizo kusubiria sana kitu kinachukua hata miezi nane kuja kutoa hatarioushapana hapana......wazungu hawanipi mzuka (naweza kuiangalia miezi 6 bila ya kuimaliza)
hawapo romantic, hawana muda wa kukoga, hawana muda wa kula kwa uhuru.
muda wote wapo kwenye harakati kuliko fisi
Wowote tumchanganyiko, au jinsi moja?
punguza urojo mkuu, unaelekea kubaya..ahsante sana ila pia pumbavu zako kwa kunitajia mlolongo mkubwa wa series.......
peak blinders + good doctor (american remake) = ndizo nilizoangalia maishani mwangu
Duuuuh iyo triple uko vzr sana mkuu [emoji1787]Ndoto yangu kupata triple
amenWowote tu
Shukran
Mkorea tabu tupu [emoji23][emoji23]Hehehehehe aiseee
Shukrani,thank you.amen
andaa fedha za kumlipa mfanya kazi wa ndani
tafute mume au muandae mtu wako wa karibu na mapemaaa apate kujua wajibu wake kama baba
Ukijumlisha na wale wanne,jumla unakuwa na watoto saba..Ndoto yangu kupata triple
peaky blinders ilijaa ngono (ila ilikuwa bonge ya series kuanzia season 1 mpaka 4)punguza urojo mkuu, unaelekea kubaya..
peaky blinders hii ilinishinda, ni nzito sana inahitaji muda wa kutulia zaidi..ntaitafutia muda wake
[emoji23][emoji23][emoji23] jibu lake moja tu mapafu yanahama mbavuniMkorea tabu tupu [emoji23][emoji23]