Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]ilikuwa maarufu
juventus wameiharibu serie A.
AC milan walijisahau kufanya overhaul ya kikosi chao.
Inter milan walikosa mipango miji
lazio, fiorentina, parma wamepotea
fedha imekuwa ngumu sana kwa timu ndogo za italy tofauti na ENGLAND
somo la upishi nimeshakuwekea.Mboga iko wapi hapo.?😂😂
dubai imekubadilisha...Siku hizi nimeakuwa mpole mpendwa
vitimbwi vya wasukuma
- mke wa pili harithi mali
- sembe ndio tunda lao maarufu (nasikia wasukuma wanaweza kula biryani, baadae wakaunganishia na sembe)
- hawajui kula samaki
serie A miaka 15 - 25 iliopita ilikuwa inavutia[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
Naunga mkono100 %
Sent using Jamii Forums mobile app