D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
wasukuma wanatishaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo namba 2 nimejionea kwa macho yangu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanasema ukila wali lazima ushushie na ugali, ati wakila wali hawashibi[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmoja wao ni mpenzi wa madrid lakini akija huku anajifanya mkatalunya.
mmoja wao ni mpenzi wa barcelona lakini akija huku anajifanya team ronaldo.
I don't know what is and this is what is for this what TID mnyama
Ata apa mkuu mbona nime comment kistaarabu tu!.huyo jamaa sehemu pekee ambayo unaweza ukamkuta ameandika comment ya kistaarabu ni kwenye uzi wa catalunya na man city.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja mwenyewe aje humu ndani...... anampenda messi lakini akikutana na davet anajifanya team ronaldo.
shukurani sana mkuu ningekuwa mjini tungepicha ata konyagi 3Happy Birthday to you home boy kurlzawa
Au ile chenga ya zamani unaupiga mpira ubavu wa kulia wa adui alafu wewe unapita ubavu wa kushoto unakutana nao mbele [emoji3][emoji3]
Mungu ni mwema Mkatalunya