Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Achana na ya Mende, kuna ya Sisimizi, hii ni balaaInaaminika Kuwa "Supu ya Mende" ina nguvu zaidi katika Kuongeza Nguvu Za Kiume.
Mmh..ndio maana.. ngoja nipunguze mahaba kwa huyu Kiumbe anafanya niandapafomuTAFITI: Ukiwa katika Mapenzi (Mahaba Mazito) utendaji kazi wako wa kawaida Unapungua.
Duh, sijawahi chagua wa bluuWatu wengi hupendelea kuchagua Miswaki ya "Bluu" kuliko rangi nyingine.