Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mieleka ya zamani huko miaka ya 60 na 70 labda. Wakati ule mieleka ilikuwa ya kweli na siyo maigizo kama hii ya sasa...Unaangaliaga mieleka? Lastborn wetu anapenda vibaya mno sijui kwa kuwa ni wa kiume.
Me siyapendi hata kusikia sauti yake
Patapoa tu ila uzuri nilirudi kumsemeaEe kakukomesha unavyomsema hapa hah
Ahsante sana Bro, nafurahi kukuona hapa.Bro...
Karibu tena. Natumaini kila kitu kiko salama na kupotea kwako kulikuwa ni kwa ajili ya heri tupu. Welcome back [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu jaman ukamsemea kabisaPatapoa tu ila uzuri nilirudi kumsemea
Kumbe hazina faida yoyote ukitoa mauzo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo kwaajili ya mauzo tu Anne
ahhh mkubwa😂😂😂😂Mieleka ya zamani huko miaka ya 60 na 70 labda. Wakati ule mieleka ilikuwa ya kweli na siyo maigizo kama hii ya sasa...
[emoji16][emoji16][emoji16] unataka nikuambie wakati nashukuru hujaonaHawachi alinitag? Wapi?
Mimi pamoja na wapendwa wangu wote tuko salama bro. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ahsante sana Bro, nafurahi kukuona hapa.
Hajambo ubavu wako Bro?
Haha we Moudy wewe
Je ile ya a,e,i,o,u ulijaribu? Yaan mdomo unapanuka pale unaposrma a ila ukiendlea kusoma herufi nyingine mdomo unapungua
Akikujibu unitag hapo nilipokutajaHawachi alinitag? Wapi?
75 yrs and counting....ahhh mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante sana.Mimi pamoja na wapendwa wangu wote tuko salama bro. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]