Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

“Luka alifanyiwa vipimo (vya virusi vya Corona) mara mbili na mara zote ameonekana hana,” Milan Jovic alifafanua.

“Ndio maana alidhani kwamba anaweza kuja Serbia.

“Sasa linaonekana ni kosa kubwa la jinai.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu jaman ukamsemea kabisa
Kabisa, nimerudi nikaenda kwa Boss wao (ni mmama, nikamwambia nurse fulani kanichoma sindano asubuhi mpaka sahivi bado inauma. Akanambia mie sio mtu wa kwanza kulalamikia sindano za yule nesi, akasema watamstopisha kuchoma watu sindano
 
Nitasapoti uamuzi huo iwapo atabainika amefanya jambo lolote baya, lakini aliwasili Belgrade na hakutoka ndani.

“(Rafikiye wa kike) Sofia ni mjamzito na asingeweza kwenda kwenye mtoko (kusherehekea siku yake ya kuzaliwa).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…